Wadau wataka Afrika ijenge mfumo wake wa elimu
Дата публикации: 22-09-2026 13:18:23
Wadau wa elimu wameitaka Afrika kuharakisha ujenzi wa mfumo wa elimu unaotokana na mazingira, utamaduni na mahitaji ya bara hilo, wakisema haiwezi kuendelea kutegemea mitaala iliyoandaliwa nje ya mazingira yake.
Схожие новости
Классификация: . Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 9. Тональность: 0. Информативность: 5.05. Источник: www.mwananchi.co.tz.